• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Eliud Kipchoge kuwekewa kasi na ndugu watatu kutoka Norway

    (GMT+08:00) 2019-08-15 08:34:59
    Mwanariadha nyota wa Kenya Eliud Kipchoge atawekewa kasi na ndugu watatu kutoka Norway – Henrik, Filip na Jakob Ingebrigtsen – atakapojaribu tena kuwa binadamu wa kwanza kukamilisha mbio za kilomita 42 chini ya saa 2:00:00 jijini Vienna nchini Austria Oktoba 12, 2019. Mkenya huyo, ambaye ni bingwa wa Olimpiki na anayeshika rekodi ya dunia ya mbio za kilomita 42 kwa wanaume ya saa 2:01:39, alikosa kwa sekunde 25 kutimka umbali huo chini ya saa mbili mjini Monza mwezi Mei mwaka 2017.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako