• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Yosso wa Tanzania watua Asmara

  (GMT+08:00) 2019-08-16 08:06:38
  Kikosi cha timu ya vijana wa umri chini ya miaka 15 cha Tanzania (U-15) kimetua mjini Asmara, Eritrea jana kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) yanayofanyika nchini humo. Katibu mkuu wa Baraza la Soka la CECAFA Nicholas Musonye amesema timu nyingine zinazoshiriki michuano hiyo zinatokea Rwanda, Uganda na Ethiopia, pamoja na Kenya, Somalia, Sudan na wenyeji Eritrea.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako