• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Bunduki yakutwa kwenye Kifurushi kilichosafirishwa China kupitia Kampuni ya Marekani FedEx

  (GMT+08:00) 2019-08-19 09:29:25

  Idara ya polisi ya mji wa Fuzhou tawi la Jin'an mkoa wa Fujian imetoa taarifa ikisema, Kampuni ya vifaa vya michezo ya mkoa huo ilipokea kifurushi kilichotumwa na mteja wa Marekani kupitia Kampuni ya kusafirisha vifurushi ya Marekani FedEx ambacho kilikuwa na bunduki. Hivi sasa polisi mjini Fuzhou wameshikilia bunduki hiyo kwa muda na kuanza uchunguzi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako