• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Michuano ya taifa ya kuchagua timu ya taifa ya riadha kufanyika wiki hii

  (GMT+08:00) 2019-08-19 10:47:34
  Mashindano ya riadha ya taifa maalum kwa ajili ya kuchagua wachezaji wa timu ya taifa ya riadha ya Kenya inatarajiwa kutimua vumbi kuanzia kesho Agosti 20 na kuhitishwa Agosti 22 jijini Nairobi.

  Wachezaji watakaochaguliwa kuunda timu hiyo ya taifa inayokabiliwa na michuano ya riadha ya dunia itakayofanyika Septemba 27 hadi Oktoba 6 mwaka huu jijini Doha Qatar.

  Mashindani hayo yanajumuisha mbio za mita 10,000 pekee ambazo ndizo zitakuwa katika michuano ya kufuzu kuelekea Doha, ambapo muda wa kufuzu kwa wanariadha wanaume ni 27:40:00 na wanariadha wanawake ni dakika 31:50:00

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako