• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Klabu ya Simba yaanza kufanya mabadiliko ya mfumo wa utawala

  (GMT+08:00) 2019-08-19 10:47:53
  Bodi ya klabu ya Simba ya Tanzania chini ya mwenyekiti wake Mohamed Dewji imeanza kufanya mabadiliko ya kimfumo wa utawala ndani ya klabu hiyo baada ya kukamilisha mchakato wa kupata watumishi watano wa sekretarieti ya klabu hiyo.

  Nafasi tano ni mtendaji mkuu wa klabu iliyoachwa na Crescentius Magori ambaye mkataba wake umemalizika, nafasi zingine ni mkuu wa idara ya habari na mawasiliano ya klabu, meneja wa wanachama, pia kutakuwa na ofisa meneja na meneja wa habari upande wa mitandao ya kijamii na digitali.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako