• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mashindano ya kuogoelea ya dunia ya vijana- Namutebi kuwaongoza waogeleaji wa Uganda

  (GMT+08:00) 2019-08-19 10:48:10

  Muogoleaji bingwa wa Uganda upande wa vijana Kirabo Namutebi atawaongoza wenzake Adnan Kabuye na Darren Ssamula kwenye mashindano ya saba ya dunia ya kuogelea kwa vijana wenye umri kuanzia miaka 14 hadi 18 yatakayofanyika Agosti 20 hadi 25 mjini Budapest nchini Hungary.

  Kwa niaba ya wenzake, Namutebi ameahidi kuwa watafanya vizuri na kupeperusha vyema bendera ya Uganda katika michuano hiyo ambayo washindani wataonyesha aina mbalimbali za uogeleaji.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako