• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mchuano mkali mjini Kapeeka Uganda

  (GMT+08:00) 2019-08-20 08:17:10

  Madereva 30 wameweka rekodi katika raundi ya nne ya mashindano ya magari ya taifa yaliyofanyika jana katika kituo cha ushirikiano kati ya Uganda na China mjini Kapeeka wilaya ya Luwero nchini Uganda.

  Mchuano mkali ulikuwa baina ya madereva watatu Jonas Kansime akiwa na gari aina ya Evo III, Rajiv Ruparelia akiwa na gari aina ya VW Proto, huku Ronald Ssebuguzi akitumia gari aina ya Evo X.

  Rajiv Ruparelia ameibuka mshindi wa mashindano hayo yaliyopita pembezoni mwa mlima Elgon, Jonas Kinsime ameibuka mshindi wa pili huku Christakis Fitidis akikamata nafasi ya tatu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako