• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ligi kuu Uingereza (EPL)- Wolves wameshindikana, wachomoa kwa Man United

  (GMT+08:00) 2019-08-20 08:18:08
  Mashetani wekundu Manchester United usiku wa jana walikuwa ugenini kuifuata Wolverhampton Wanderers kwenye mchezo wa ligi kuu ya Uingereza (EPL) na kujikuta wakiambulia sare ya goli 1-1.

  Man United walikuwa wa kwanza kuona lango la wapinzani wao dakika ya 27 kupitia kwa Anthony Martial lakini Wolves walichomoa dakika ya 55 kupitia kwa Ruben Neves na kuzamisha ndoto za Man U za kushika usukani wa ligi hiyo kwa tofauti ya magoli.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako