• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mchezaji wa raga akutwa amefariki

  (GMT+08:00) 2019-08-20 08:18:24
  Mchezaji wa timu ya raga ya Batley Bulldogs Archie Bruce, amekutwa na umauti baada ya kucheza kwa mara ya kwanza akiwa na timu yake hiyo.

  Mwenyekiti wa klabu hiyo amesema, wamepokea taarifa za kifo cha mchezaji huyo kwa mshtuko na wataisaidia familia yake. Bruce awali alikuwa akiichezea klabu ya Amewur ya Dewsbury Moor mjini West Yorkshire, alicheza kwa mara ya kwanza katika timu hiyo baada ya kukaa nje kwa muda huku akiipatia ushindi wa miguso 46-0 mwishoni mwa wikiendi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako