• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Wawekezaji wa China kujenga hoteli ya dola milioni 8.5 Nairobi

    (GMT+08:00) 2019-08-20 19:59:14

    Wawekezaji kutoka China watajenga hoteli ya dola milioni 8.5 karibu na uwanja wa ndege wa kimataifa wa jomo Kenyatta.

    ACME Dream Ltd inayosimama ujenzi imesema hoteli hiyo yenye vyumba 25 itajengwa kwenye ardhi ya ekari 5.2.

    Kujengwa kwa hoteli hiyo ni ishara ya kuendelea kuongezeka kwa watalii, wawekezaji na jamii ya wachina wanaofanya biashara au kuishi nchini Kenya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako