• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Owala anyakua taji nchini Angola

  (GMT+08:00) 2019-08-21 08:12:38

  Mtunisha misuli mwanamke wa Kenya Evelyn Owala, kwa mara nyingine mwaka huu amepeperusha vyema bendera ya taifa lake la Kenya baada ya kushinda taji kubwa la mashindano ya kutunisha misuli kwa upande wa wanawake lililofanyika nchini Angola.

  Owala ameshinda taji hilo linalosimamiwa na shirikisho la Kimataifa la kutunisha misuli (IFBB). Naye waziri wa michezo, Sanaa na utamaduni wa Kenya Balozi Amina Mohamed amempongeza mtunisha misuli huyo na kuwataka wanawake kutojiweka nyuma nyuma na kuchagua michezo kwa vigezo kuwa wao ni wanawake kuna michezo ya wanaume.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako