• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mashine iliyotua Simba, baada ya kuwika TP Mazembe, Raja Casablanca

  (GMT+08:00) 2019-08-21 08:12:58
  Deo Kanda ni jina jipya masikioni mwa mashabiki wa klabu ya Simba ya Tanzania, lakini si geni katika soka la Afrika. Kanda amewahi kutamba akiwa na mabingwa mara tano wa Afrika TP Mazembe ya DR Congo kwa misimu mine.

  Kiungo huyo wa pembeni msimu huu ametua kwa wekundu wa Msimbazi Simba, kanda amesema kucheza kwake ligi za mataifa tofautitofauti ni silaha kwake ambayo inamfanya aamini anaweza kuvaa viatu vya Emmanuel Okwi aliyeachana na klabu hiyo na sasa kuchezea Al Ittihad ya Misri.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako