• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya yakubali vichapo, Afrika Kusini hao Japan

  (GMT+08:00) 2019-08-21 08:13:16
  Kenya imefundishwa namna ya kucheza mchezo wa magongo baada ya kukubali vichapo kwenye mchezo huo upande wa wanawake na wanaume za kuwania tiketi ya kufuzu michezo ya Olimpiki mwakani.

  Baada ya kupoteza mechi nne za kwanza, timu ya Chui ya Kenya ilifufua matumaini baada ya kuichapa Namibia 3-1 uwanja wa chuo kikuu cha Stellenbosch mjini Cape Town Afrika kusini.

  Upande wa timu ya wanawake maarufu kama Tausi imeibuka ya nne kwa kujizolea alama nne baada ya kushinda mchezo mmoja, kutoka sare mara moja na kukubali vichapo mara tatu. Timu za Afrika Kusini (wanaume na wanawake) ziliendeleza ubabe wazo na kutwaa tiketi ya kushiriki Olimpiki za Tokyo mwaka 2020

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako