• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kaddu ajiunga na Berkane ya Morocco, aahidi makubwa

  (GMT+08:00) 2019-08-21 08:13:52
  Mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda Patrick Kaddu amejiunga na timu ya RS Berkane inayoshiriki ligi kuu nchini Morocco. Kaddu amemalizana na waarabu hao kwa kusaini mkataba wa miaka minne tayari kukipiga ndani ya klabu hiyo.

  Kaddu amefanikisha dili hilo akitokea kunako timu ya KCCA inayoshiriki ligi kuu Uganda. Mshambuliaji huyo ana miaka 24.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako