• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: KPL kuanza kusaka mdhamini mpya wa ligi

  (GMT+08:00) 2019-08-22 07:46:48
  Bodi inayoendesha ligi kuu nchini Kenya (KPL) inajiandaa kwa kikao cha dharula kitakachiwahusisha wenyeviti wa vilabu vyote vya soka zinavyoshiriki ligi hiyo ajenda kuu ikiwa ni kusaka mdhamini mpya kufuatiwa kujitoa kwa kampuni ya Sportpesa.

  Afia mtendaji mkuu wa KPL, Jack Oguda alitangaza kwamba huenda msimu huu wa ligi ulioratibiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu Agosti 31, utashindwa kuanza baada ya hatua hiyo ya Sportpesa kunyimwa leseni ya kufanya biashara nchini Kenya.

  Sportpesa walikuwa wadhamini wa ligi hiyo, na walikuwa wakitoa kiasi cha shilingi 90 milioni kila mwaka.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako