• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Maonesho ya kimataifa ya vitabu ya Beijing yalenga Maadhimisho ya miaka 70 tangu kuasisiwa kwa Jamhuri ya watu wa China

  (GMT+08:00) 2019-08-22 09:15:12

  Maonesho ya 26 ya kimataifa ya vitabu ya Beijing yamefunguliwa jana na yanalenga Maadhimisho ya Miaka 70 tangu kuasisiwa kwa Jamhuri ya Watu wa China. Kampuni zaidi ya 2,600 zinashiriki kwenye maonesho hayo, zikionesha vitabu zaidi ya laki 3. Kati ya kampuni hizo, 1,600 zinatoka nchi na sehemu 95 duniani zikiwemo nchi 30 za Ukanda Mmoja, Njia Moja.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako