• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • IMF yasema kuongeza ushuru si suluhu ya pengo la biashara

  (GMT+08:00) 2019-08-22 17:12:04

  Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limetoa makala kwenye blog yake likisema kuongeza ushuru hakuwezi kusaidia kutatua suala la biashara isiyo na uwiano kwa ujumla, na badala yake, kutadhoofisha imani na uwekezaji wa makampuni, kuvuruga mnyororo wa utoaji wa bidhaa duniani na kuongeza matumizi ya watengenezaji na wateja na mwishoni kuzuia maendeleo ya uchumi wa nchi yenyewe na wa dunia nzima.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako