• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa Mamboya avunja Bodi ya Bandari Zanzibar

    (GMT+08:00) 2019-08-22 19:18:15

    Waziri wa ujenzi,mawasiliano,na uchukuzi,Dk Sira Ubwa Mamboya,ameivunja Bodi ya Shirika la Bandari Zanzibar kwa kushindwa kulisimamia shirika hilo.

    Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake,alisema ameivunja Bodi hiyo kwa kujibu wa kifungu namba 6 (4) (C) Sheria namba moja ya mwaka 1997.

    Alisema uamuzi wa kufanya hivyo ulikuja kutokana na Ripoti ya Kamati ya Mawaziri iliyoundwa na Rais wa Zanzibar na kuonekana kuwa bodi hiyo imeshindwa kusimamia na kusababisha shirika hilo kutotekeleza majukumu yake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako