• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi asisitiza kutokomeza umasikini, kuhimiza maendeleo ya hali ya juu na kuimarisha ulinzi wa mazingira

  (GMT+08:00) 2019-08-22 20:11:29

  Rais wa China Xi Jinping amesisitiza juhudi za kuendelea kutokomeza umasikini, kuhimiza maendeleo ya hali ya juu, kuimarisha ulinzi wa mazingira na kuhakikisha na kuboresha maisha ya watu.

  Xi, ambaye pia ni katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China ameyasema hayo kwenye ziara yake ya ukaguzi iliyoanzia Jumatatu na kukamilika leo mkoani Gansu, kaskanini magharibi mwa China.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako