• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Nyota wa zamani wa timu ya taifa ya Ghana, afariki

  (GMT+08:00) 2019-08-23 08:32:18

  Mchezaji wa zamani wa timu ya Ghana, Junior Agogo amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 40. Agogo ambaye alianza kukipiga katika klabu ya Sheffield Wednesday na kufanikiwa kucheza mechi 27 za timu ya taifa ya Ghana na kufunga magoli 12.

  Agogo alipatwa na ugonjwa wa Kiharusi mwaka 2015 ambao ulipelekea mpaka apate tabu ya kuongea. Bado chanzo cha kifo chake hakijawekwa wazi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako