• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kundi la nchi saba G7 latakiwa kufikia kauli moja juu ya suala la kurejesha kundi la nchi nane

  (GMT+08:00) 2019-08-23 09:14:36

  Msemaji wa Wizara ya mambo ya nje ya Russia Maria Zakharova amesema, kundi la nchi saba G7 linatakiwa kufikia kauli moja juu ya suala la kurejesha kundi la nchi nane, na kutoa mapendekezo yanayohusika.

  Zkharova amesema Russia haihusiki na kutokuwepo kwa kundi la nchi nane. Ikiwa nchi wanachama wa G7 zinaona kuwa kundi la nchi nane linatakiwa kurejeshwa, zinatakiwa kuchukua hatua, lakini Russia inaona bado kuna tofauti kubwa kati ya nchi wanachama kuhusu suala hilo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako