• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi atembelea kituo cha jeshi la anga la China

  (GMT+08:00) 2019-08-23 19:51:42

  Rais Xi Jinping wa China ametembelea kituo cha jeshi la anga, na kusisitiza kukumbuka majukumu ya mwanzo, kuinua uwezo wa kushinda vita na kusherehekea miaka 70 tangu Jamhuri ya Watu wa China ianzishwe kwa kazi bora.

  Rais Xi alipotembelea kituo hicho, alipongeza mafanikio liliyoyapata jeshi hilo, na kulitaka kukumbuka malengo ya msingi ya jeshi la watu, kuendelea kuunga mkono ujenzi wa uchumi na jamii wa China na kufanikiwa kutimiza majukumu yaliyopewa na Chama cha Kikomunisti cha China na watu wa China.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako