• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mameya wa Afrika mashariki wakutana mjini Kamapala Uganda

    (GMT+08:00) 2019-08-23 20:15:59

    Mameya wa jumuiya ya Afrika mashariki wanakutana mjini Kampala Uganda kujadili changamoto za ukosefu wa ajiora na ukuaji wa miji katika kanda ya Afrika mashariki.Mkutano huo wa siku tatu unalenga kutoia nafasi kwa wadau 120 kutokla kanda hiyo ili kujenga uelewanoi wa pamoja kuhusu maendelepo.Mameya hao walitola katika miji ya Kisumu, Nairobii, Arusha,, Tanzania, Kigali, Bujumbura na Sudana kusini.Mkutano huo uliandaliwa na kongamano la kiuchumi kimataifa ambalo linaleta pamoja miji na wawakilishi wa mashiriki ya kimataifa.Mkutano huo pia unalenga kuwafanya washiriki kuimarisha uchumi wa miji ya Afrikia mashariki na kufanya jamii kukumbatia ujasiriamali ilim kuleta ushindani na kuchangia kwa ukuaji wa uchumi wa nchi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako