• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Chombo cha China Chang'e-4 chaendelea na kazi kwa siku ya 9 katika Mwezi

  (GMT+08:00) 2019-08-26 09:00:10

  Chombo cha uchunguzi cha China Chang'e-4 kimeendelea na kazi kwa siku ya tisa katika sehemu ya nyuma ya Mwezi baada ya "kulala" katika usiku wa baridi kali. Mitambo na vifaa mbalimbali vinavyobebwa na chombo hicho vitaamshwa tena ili kufanya kazi za kisayansi ikiwemo uchunguzi wa sura ya Mwezi na utafiti wa muundo wake.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako