• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mkutano wa wakuu wa G7 haukufikia hatua za pamoja juu ya suala la nyuklia la Iran

  (GMT+08:00) 2019-08-26 09:00:35

  Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa na mwenzake wa Marekani Donald Trump wamesema kundi la nchi 7 (G7) zitatekeleza hatua yao zenyewe juu ya suala tata la makubaliano ya nyuklia ya Iran. Mapema jana, rais Macron aliiambia televisheni ya LCI ya Ufaransa kuwa hakuna nchi inayotaka mgogoro, na rais Trump alikuwa wazi juu ya suala hilo.

  Baada ya mkutano wake na rais Macron uliofanyika Ijumaa mjini Paris, waziri wa mambo ya nje wa Iran Mohammad Javad Zarif alisema Ufaransa imetoa mapendekezo kwa Iran kuhusu jinsi za kutekeleza makubaliano ya nyuklia ya Iran.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako