• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • UM wasema wakimbizi 1,350 wahamishwa kutoka nchini Libya mwaka huu

  (GMT+08:00) 2019-08-26 09:01:00

  Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limesema, wakimbizi 1,350 wamehamishwa salama Libya na kwenda katika nchi nyingine mwaka huu. Kutokana na ukosefu wa usalama na vurugu, Libya imekuwa sehemu inayopendelewa kutumiwa na wahamiaji haramu wanaotaka kuvuka bahari ya Mediterranean na kufika Ulaya, wengi wao wakifa maji njiani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako