Mafuta ghafi yatasafirishwa na kampuni ya serikali ya China inayomilikiwa na ChemChina ambayo ilishinda zabuni ya kununua mafuta ya Kenya mapema mwezi huu.
Serikali mnamo Agosti 1 ilitangaza kwamba mafuta yaliyozalishwa Turkana na yatauzwa kwa Sh bilioni 1.2 bilioni sawa dola million 12 milioni.
Akiongea wakati wa amepeperushji wa bendera, Rais Uhuru amesema nchi na washirika wake itaendelea kufuata maliasili lakini bila kuathiri kizazi kijacho.
Amesema rasilimali zaidi zitaelekezwa katika kuboresha miundombinu ambayo itarahisisha usafirishaji wa mafuta kutoka mashambani kwenda bandarini.
Serikali itahakikisha jamii za wenyeji zinanufaika na mafuta.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |