• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Jumuiya ya wachina nchini Ghana yakusanyika kupinga vurugu Hong Kong

  (GMT+08:00) 2019-08-26 19:59:08

  Jumuiya ya wachina nchini Ghana yakusanyika mjini Ghana kupinga maandamano ya vurugu mjini Hong Kong China.

  Mkusanyiko huo umetoa mwito wa kuwepo kwa amani mjini Hong Kong wakiwa na mabango yenye maneno "Tunaipenda China" na "Tunaipenda Hong Kong"

  Balozi wa China nchini Ghana Bw. Wang Shiting amezitaka nchi za nje ziache kuingilia kati mambo ya ndani ya China, na kukumbusha kuwa Hong Kong ni sehemu ya China, na makundi ya nje yanapaswa kuacha kuingilia mambo ya China.

  Pia amesema ushahidi unaonesha kuwa, kama kusingekuwa na uingiliaji wa makundi ya nje hali ya Hong Kong isingedorora na kufikia kiwango hiki.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako