• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi Jinping wa China aitisha Mkutano wa 5 wa Kamati kuu ya fedha na uchumi

  (GMT+08:00) 2019-08-26 21:02:13

  Rais Xi Jinping wa China leo ameitisha Mkutano wa tano wa Kamati kuu ya fedha na uchumi, ili kutafiti suala la kuhimiza mpangilio wa uchumi wa kikanda kwa njia ya kusaidiana na kupata maendeleo yenye sifa bora, kuongeza uwezo wa kimsingi wa viwanda, na kiwango cha mnyororo wa viwanda.

  Akihutubia mkutano huo Rais Xi amesisitiza kuwa inatakiwa kufuata mazingira ya sehemu mbalimbali, kuweka mipango kuhusu eneo lenye uwezo muhimu, kuboresha msingi wa viwanda, na kutimiza kuufanya mnyororo wa viwanda kuwa wa kisasa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako