• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • RIADHA:Musagala atuma salamu Doha baada ya kushinda jijini Paris

  (GMT+08:00) 2019-08-27 08:29:40

  Mara baada ya kushinda kwa mara ya pili mchuano ya Diamond League (DL), Ronald Musagala ndio habari ya mjini hivi sasa nchini Uganda. Musagala ameshinda mbio za mita 1,500 zilizomalizika jijini Paris Ufaransa.

  Meneja wa mwanariadha huyo, Jurrie van der Velden amesema, Musagala alijiandaa vizuri hadi kufikia hatua hiyo ya ushindi, na kuwa hayo ni matokeo ya kazi nzuri.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako