• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Waziri mkuu wa Sudan apokea orodha ya wateule wa baraza la mawaziri la mpito

  (GMT+08:00) 2019-08-28 10:05:31

  Waziri mkuu wa Sudan Bw. Abdalla Hamdok amesema amepokea orodha ya majina ya mawaziri wateule iliyowasilishwa na Muungano wa Upinzani wa Uhuru na Mabadiliko. Orodha hiyo inajumuisha wateule 49 wa wizara 14 na wateule 16 wa mabaraza matano maalumu ya mawaziri. Ameahidi kuwa atasoma kwa makini mapendekezo hayo kwa mujibu wa vigezo vilivyokubaliwa na pia kuzingatia uwakilishi wa haki wa wanawake.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako