• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • UM yasema wahamiaji wapatao 40 hawajulikani walipo katika pwani ya magharibi mwa Libya

  (GMT+08:00) 2019-08-28 10:05:52

  Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limesema wahamiaji haramu wapatao 40 hawajulikani walipo katika pwani ya magharibi mwa Libya. Mapema jana, jeshi la maji la Libya limesema wahamiaji haramu 65 wameokolewa na miili mitano imepatikana katika pwani ya mji wa Khoms, kilomita 120 mashariki ya mji mkuu Tripoli.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako