• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yaonesha maendeleo mapya ya shughuli za anga

  (GMT+08:00) 2019-08-29 09:28:47

  Banda la China katika maonesho ya kimataifa ya shughuli za anga ya MAKS-2019 yanayofanyika huko Moscow, Russia limezinduliwa, na litaonesha mafanikio ya hivi karibuni ya makampuni yanayoongoza ya China, pamoja na matokeo ya ushirikiano kati ya China na Russia. Katika uzinduzi huo waziri wa viwanda na Tehama wa China Miao Wei amesema, ushirikiano kati ya China na Russia katika shughuli za anga na za anga ya juu una umuhimu wa kimkakati, katika kukabiliana na changamoto za kimataifa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako