• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wanafunzi kadhaa wa China waendelea na masomo ya elimu ya juu nchini China kupitia mpango wa udhamini

  (GMT+08:00) 2019-08-29 19:55:47

  Karibu wanafunzi 60 wa Namibia wamechagulia kuja kuendelea na masomo yao nchini China ikiwa ni sehemu ya mpango wa udhamini wa masomo kati ya waombaji 300.

  Akiongea kwenye hafla ya kuwaaga wanafunzi hao, balozi wa China nchini Namibia Bw. Zhang Yiming amesema wanafunzi hao wanaokwenda kusomea elimu ya juu katika vyuo mbalimbali nchini China, ni muhimu kwa Namibia. Amesema idadi ya wanafunzi hao imeweka rekodi, na wanafunzi sita kati ya hao wanakwenda kusoma katika Chuo Kikuu cha Peking.

  Akiongea kwenye sherehe hiyo, mkurugenzi mtendaji wa tume ya mipango ya Namibia Bibi Annely Haiphene amewapongeza wanafunzi hao, na kuwataka wanapokwenda masomoni wakiwakilishe vizuri nchi yao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako