• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yapinga mgogoro wa kibiashara kupamba moto

  (GMT+08:00) 2019-08-29 19:59:42

  Msemaji wa wizara ya biashara ya China Bw. Gao Feng amesema hatua za China za kupambana dhidi ya mgogoro wa kibiashara uliochochelewa na Marekani ni za kutosha, na China inapinga mgogoro wa kibiashara kupamba moto, na ina nia ya kutatua suala hilo kwa njia ya majadiliano na ushirikiano kwa utulivu, na chini ya hali ya sasa, suala lilalotakiwa kujadiliwa ni kuondoa kuongeza ushuru wa bidhaa za China zenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 550 na kuzuia mgogoro wa kibiashara kupamba moto.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako