• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ofisa wa shirika la IMF asema kiwango cha ubadilishaji wa sarafu cha RMB kinalingana na hali ya msingi ya uchumi

  (GMT+08:00) 2019-08-29 21:04:17

  Naibu mjumbe wa Shirika la fedha la kimataifa IMF nchini China Bi. Zhang Longmei amesema ingawa mwelekeo wa hali ya nje umesababisha kiwango cha ubadilishaji wa sarafu kukabiliwa na shinikizo, lakini akiba ya sarafu za kigeni inatosha na hakuna dalili yoyote ya uingiliaji, na kiwango cha ubadilishaji wa sarafu cha RMB kinalingana na hali ya msingi ya uchumi.

  Bi Zhang amesema, shirika la IMF limeona kuwa hivi karibuni China inaendelea kuhimiza mageuzi ya kimuundo, na kupata maendeleo ya mageuzi ya kusifiwa katika mambo ya fedha na ufunguaji mlango.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako