• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ofisi ya siasa ya kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China CPC yaitisha mkutano

  (GMT+08:00) 2019-08-30 19:40:41

  Ofisi ya siasa ya kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China CPC, leo imeitisha mkutano na kuamua kufanya Mkutano wa nne wa wajumbe wote wa Kamati ya awamu ya 19 ya kamati kuu ya Chama cha CPC mwezi Oktoba hapa Beijing.

  Ajenda kuu ya mkutano huo ulioendeshwa na Rais Xi Jinping, ni ofisi ya siasa ya Kamati kuu ya Chama cha CPC kutoa ripoti ya kazi kwa kamati kuu, na kufanya utafiti kuhusu masuala mbalimbali muhimu yakiwa ni pamoja na kushikilia na kukamilisha mfumo wa ujamaa wenye umaalumu wa China, kuhimiza utaratibu na uwezo wa usimamizi wa nchi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako