• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Shirika la ndege la Uganda kujipigia debe kwenye maonesho Tanzania

  (GMT+08:00) 2019-08-30 20:00:07

  Shirika la ndege la Uganda linatarajia kushiriki kwenye maonyesho ya kibiashara yanayotarajiwa kufanyika nchini Tanzania na ambayo yameandaliwa na serikali za nchi hizo mbili.Maonesho hayo ambayo yamepewa kauli mbiu ya "uboreshaji wa biashara na uwekezaji kwa ukuaji na maendeleo endelevu kwa pande zote mbili" yatafanyika kati ya tarehe 5-6 mwezi ujao . Shirika la ndege la Uganda limesema linatarajia wastu kutembelea kibanda chao pamoja na tovuti yao ili waweze kupata maelezo kuwahusu na wakati huo huo kukata tiketi. Wadau wamesema maonesho hayo yatawaleta pamoja wadau wa biashara, watunga sera na wadau wengine ili kujinyakulia fursa zilizopo kwenye nchi hizo mbili. Trade between Uganda and Tanzania has been increasing over the years; in 2016 the value of Uganda's exports to Tanzania was $69m (sh254b). Biashara kati yaUganda na Tanzania imekuwa ikiongezeka mwaka baada ya mwaka ambapo mwaka wa 2016 thamani ya biashara ya Uganda nchini Tanzania iliongezeka na kufikia dola bilioni 69.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako