• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Watalii watano wa India wafariki kutokana na mafuriko ya ghafla nchini Kenya

  (GMT+08:00) 2019-09-02 09:22:40

  Polisi ya Kenya imesema watalii watano wa India na mwongoza watalii wa Kenya wamefariki baada ya gari waliyokuwa wamepanda kusombwa na mafuriko ya ghafla huko Naivasha, Kenya.

  Kamanda wa polisi wa eneo la Rift Valley Marcus Ochola amethibitisha kuwa tukio hilo lilitokea kwenye Hifadhi ya Taifa ya Hell's Gate, akisema waongoza watalii hawakutambua hali ya hewa ya eneo hili. Pia amesema polisi wanatafuta watu wanaowezekana kunusurika.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako