• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Afrika Kusini yatangaza Mwezi wa Usalama wa Polisi wakati matukio ya uhalifu yanaongezeka

  (GMT+08:00) 2019-09-02 09:23:14

  Afrika Kusini jana ilitangaza Septemba kuwa Mwezi wa Kitaifa wa Usalama wa Polisi wakati ambao polisi wengi zaidi wanakuwa wahanga wa matukio ya uhalifu yanayoongezeka.

  Makamu wa rais wa nchi hiyo David Mabuza amesisitiza kuwa lengo la kampeni hii ni kuongeza ufahamu juu ya mahitaji ya ushirikiano kati ya polisi na wananchi. Pia amerejea tena wito uliotolewa na waziri wa polisi Bheki Cele wa kushirikiana katika "kutokomeza wahalifu kuwa sifuri."

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako