• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wafungwa 130 wahofiwa kuuawa katika shambulizi la anga lililoongozwa na Saudi Arabia katika gereza la Yemen

  (GMT+08:00) 2019-09-02 09:24:20

  Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu ICRC limesema, wafungwa takriban 130 wanahofiwa kuuawa katika shambulizi la anga lililoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya gereza la mkoani Dhamar, Yemen.

  Kwenye taarifa yake kundi la Houthi limesema , wafungwa waliouawa ni askari wa serikali ya Yemen ambao walikamatwa kwenye mapambano.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako