• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Watu wasiopungua 15 wauawa katika tukio la kuanguka kwa jengo nchini Mali

  (GMT+08:00) 2019-09-02 19:14:04

  Wizara ya usalama wa ndani na ulinzi wa raia nchini Mali imetangaza kuwa jengo lenye ghorofa 3 lililoko huko Bamako lilianguka jana na kusababisha vifo vya watu wasiopungua 15 na wengine 41 wameokolewa. Uchunguzi dhidi ya mlimiki wa jengo hilo umeanzishwa.

  Jengo hilo lililokuwa likijengwa lilianguka saa 10 alfajiri kwa saa za huko, na operesheni ya uokoaji inaendelea.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako