• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia changamoto nyingi zinazoikabili sekta ya ujenzi

    (GMT+08:00) 2019-09-02 19:40:05

    Ujenzi unaongezeka nchini Ethiopia, unafikia asilimia 18 ya Pato la Taifa la nchi hiyo kwa mwaka wa fedha 2017-2018.

    Serikali imeingiza mamilioni ya dola katika makazi ya kijamii, ambayo imekuwa ziada kwa wakandarasi wa nje na wa ndani, hivi sasa sekta ya ujenzi kwa sasa ni mwajiri mkubwa nchini, ikiwa na zaidi ya watu milioni mbili walioajiriwa kwa muda mrefu na wa muda mfupi.

    Lakini kuna changamoto nyingi zinazoikabili sekta hiyo, moja yapo ni kuongezeka kwa deni na hivyo kuifanya vigumu kupata vifaa sahihi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako