• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yaanza mashtaka dhidi ya Marekani kuongeza ushuru wa bidhaa za China

  (GMT+08:00) 2019-09-02 21:12:06

  Wizara ya biashara ya China imetoa mashtaka kwa Shirika la Biashara la Kimataifa WTO dhidi ya hatua ya Marekani ya kuongeza ushuru kwa bidhaa za China.

  Serikali ya Marekani jana ilianza rasmi kuongeza ushuru wa forodha wa bidhaa za China zenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 300.

  Wizara hiyo imesema kitendo hiki cha Marekani kimekiuka makubaliano yaliyofikiwa kati ya viongozi wa nchi hizo mbili, na kinapingwa kithabiti na China. China itafuata kanuni za WTO, kulinda maslahi yake halasi na utaratibu wa biashara ya kimataifa ya pande nyingi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako