• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Afrika Kusini kuvutia wawekezaji wa China kwenye maeneo yao maalumu ya kiuchumi

  (GMT+08:00) 2019-09-03 08:24:22

  Maofisa wa serikali ya Afrika Kusini wiki hii wanakuja China kuonesha fursa za uwekezaji kwenye maeneo maalumu ya kiuchumi ya nchi hiyo.

  Naibu waziri wa Biashara na Viwanda Fikile Majola amesema watafanya meonesho maalumu ya barabarani ya maeneo maalumu ya kiuchumi katika mji wa Chengdu Septemba 5 na 6.

  Amefafanua kuwa idadi ya maeneo maalumu ya kiuchumi ya Afrika Kusini sasa yamefikia 10, yakiwepo katika mikoa saba. Idadi ya ajira za moja kwa moja pia imeongezeka kutoka elfu 13,466 hadi 15,737. Wakati huohuo idadi ya wawekezaji waliosaini lakini hawajaanza kuendesha shughuli zao hivi sasa wanakadiriwa kuwa 61, huku idadi ya ujumla ya thamani ya uwekezaji ikifikia zaidi ya dola za Kimarekani bilioni 2.2.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako