• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Akademia za sayansi za China na Afrika zasaini waraka wa ushirikiano

  (GMT+08:00) 2019-09-03 08:39:44

  Akademia za sayansi za China na Afrika jana zilikutana huko Nairobi, na kufikia mwafaka kuhusu kuhimiza uvumbuzi wa sayansi na teknolojia na ujenzi wa uwezo kwa nchi za "Ukanda Mmoja, Njia Moja", na kukuza ushirikiano wa sayansi na teknolojia kati ya China na Afrika, vilevile pande hizo mbili zimesaini Hati ya maelewano (MoU).

  Mkurugenzi wa Akamedia ya Sanyasi Afrika Felix Dakora amesema, kusainiwa kwa waraka huo kutasaidia kuzidisha ushirikiano wa sayansi na utafiti kati ya pande hizo mbili, na kuhimiza uvumbuzi wa sayansi na teknolojia na maendeleo ya uchumi barani Afrika. Pia amezitaka nchi za Afrika zitumie vizuri ushirikiano wa sayansi na teknolojia na China na kuhimiza mageuzi ya kiuchumi na kijamii.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako