• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Watu 1,117 wakamatwa tokea mgogoro wa kisiasa ulipotokea mkoani Hongkong

  (GMT+08:00) 2019-09-03 09:23:50

  Polisi ya Hongkong imesema, tokea mgogoro wa kisiasa ulipotokea watu 1,117 wamekamatwa. Katika siku tatu zilizopita, watu 159 waliokamatwa ni pamoja na wanaume 132, wanawake 27 ambao wanashitakiwa kwa kufanya mikusanyiko haramu, kumiliki silaha hatari, kuwashambulia na kuwazuia polisi kutekeleza majukumu.

  Polisi ya Hongkong imesisitiza kuwa itaendelea kushirikiana na idara nyingine za utekelezaji wa sheria kuirejesha Hongkong katika hali ya kawaida.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako