• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • COMESA kuhimiza biashara ya kikanda kupitia uvumbuzi

  (GMT+08:00) 2019-09-03 09:43:48
  Msaidizi katibu mkuu wa Soko la Pamoja la Mashariki na Kusini mwa Afrika (COMESA) Bw. Kipyego Cheluget amesema kuwa jumuiya hiyo inapanga kuhimiza biashara ya kikanda kupitia uvumbuzi.

  Akiongea kwenye hafla ya ufunguzi wa mkutano wa sita wa utafiti wa COMESA unaofanyika kila mwaka huko Nairobi Bw. Kipyego amesema uvumbuzi unaleta faida za kiteknolojia na linganishi ambazo zinahimiza biashara.

  Waziri wa Viwanda, Biashara na Ushirika wa Kenya Bw. Chris Kiptoo amesema kuwa kanda iliyofungamana zaidi itaongeza kasi ya ukuaji wa uchumi na kupunguza umasikini katika mashariki na kusini mwa Afrika.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako