Rais Xi Jiping wa China ametoa wito kwa maofisa hasa maofisa vijana kupitia mafunzo makali ya itikadi, kisiasa na kivitendo na kufanya juhudi ili kufikia malengo mawili ya Miaka 100 na Ndoto ya Wachina ya kuleta nguvu ya taifa.
Xi, ambaye pia ni katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi, amesema hayo katika sherehe ya ufunguzi wa mpango wa mafunzo kwa maofisa vijana na wa makamo Katika Chuo cha Utawala cha Taifa.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |