• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya kuandaa mkutano wa Jumuiya ya Madola juu ya usawa wa kijinsia na kuwawezesha wanawake

  (GMT+08:00) 2019-09-03 19:30:29

  Kenya inapanga kuandaa mkutano 12 wa mawaziri ya mambo ya wanawake wa Jumuiya ya Madola baadaye mwezi huu.

  Kwa mujibu wa taarifa ya waandaaji, mkutano huo wa siku mbili utaanza Septemba 19 mjini Nairobi na kuwaleta pamoja mawaziri wa mambo ya jinsia na wanawake kufanya mapitio na kutathmini maendeleo yaliyofikiwa kuelekea vipaumbele vinne vya Jumuiya ya Madola juu ya usawa wa kijinsia, malengo matano ya maendeleo endelevu na majukumu mengine yanayohusiana na taifa na kanda hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako